Pak sarzamin shad bad

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads
Remove ads

Pak sarzamin shad bad (Kiajemi: „Ibarikiwe ardhi iliyo safi“) ni wimbo wa taifa wa Pakistan.

Muziki ulitungwa na Ahmed G. Chagla (1902-1953), maneno na Abul Asar Hafeez Jullundhri. Pak sarzamin shad bad ilikuwa wimbo wa taifa mwaka 1954.

(Wikipedia ya Kiingereza Tarana inataja wimbo la "Quaumi Tarana" kama wimbo rasmi na kuongeza "Pak sarzamin shad bad" kama "wimbo mpya" lakini bila kueleza badiliko lilitokea lini)

Maelezo zaidi Kiajemi ...
Remove ads

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads