Palma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Palma (awali: Palma de Mallorca) ni mji wa Hispania, makao makuu ya visiwa vya Baleari.
Mwaka 2018 wakazi wake walikuwa 409,661[1], ukiwa wa kumi na mbili nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads