Pam Grier

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pam Grier
Remove ads
Remove ads

Pam Grier (amezaliwa 26 Mei, 1949 jijini Winston-Salem, North Carolina) ni mwigizaji wa filamu kutoka Marekani. Alitamba sana katika mtindo wa sinema wa "blaxploitation" kwenye miaka ya 1970.

Thumb
Pam Grier mnamo Septemba, 2022.

Ulimwengu wa filamu ulitambua uwezo wake kupitia filamu ya Foxy Brown (1974) na Coffy (1973). Katika Foxy Brown, alicheza kama Foxy Brown, mwanamke ambaye anakabiliana na dunia ya uhalifu ili kulipiza kisasi juu ya kifo cha mpenzi wake. Katika Coffy, alicheza kama Coffy, mpelelezi anayejaribu kupambana na madawa ya kulevya na maovu mengine.

Pam Grier pia ameigiza katika filamu zingine maarufu kama Jackie Brown (1997), ambapo alicheza kama Jackie Brown. Filamu hii ilimsaidia Grier kurudi kwenye mwangaza wa umaarufu baada ya miaka mingi ya kutokuwapo. Mwongozaji wa filamu hiyo ni Quintin Tarantino

Thumb
Pam Grier
Remove ads

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka


Makala hii ni sehemu ya mradi wa kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads