Pangani Magharibi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pangani Magharibi
Remove ads

Pangani Magharibi ni kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania na sehemu ya mji wa Pangani yenye Postikodi namba 21301.

Thumb
Mkoa wa Tanga.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 8,179 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,949 waishio humo. [2]

Pangani Magharibi huitwa pia Myongeni: ni sehemu ambako wafanyakazi wa mashamba makubwa wa katani walipanga nyumba zao nje ya mji wa kihistoria ya Pangani.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads