Pangani Mashariki

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pangani Mashariki
Remove ads

Pangani Mashariki ni kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania, yenye Postikodi namba 21302.

Thumb
Pangani Mashariki, pamoja na sehemu ya kihistoria ya mji wa Pangani

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 4,157 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 2,975 waishio humo.

Pangani Mashariki ni sehemu ya mji wa Pangani na mji wa kihistoria wa Waswahili iko katika kata hii.

Kuhusu historia ya Pangani angalia: Pangani (mji).

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads