Papa Tawadros II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Tawadros II (Papa Abba Theódōros II; البابا تواضروس الثانى: alizaliwa Damanhur, 4 Novemba 1952) ni Patriarki wa 118 wa Aleksandria katika Kanisa la Kiorthodoksi la Kikopti tangu tarehe 18 Novemba 2012 (9 Hathor 1729).[1]

Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads