Parapela
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Parapela[1] (kutoka Kilatini propellere = kusogeza mbele) ni jina la rafadha ikitumiwa kwenye ndege.
Parapela inatumia fizikia kama kila rafadha inasababisha tofauti ya kanieneo inayovuta ndege mbele.
Helikopta huwa na parapela mbili; parapela kubwa inavuta helikopta juu na parapela ndogo ya nyuma husaidia kupanga mwelekeo wake inapokwenda.
Parapela za ndege hutengenezwa kwa kutumia ubao, plastiki na kwa mashine kubwa metali.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads