Parsoma

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Parsoma (Kairo, 1257 - 10 Septemba 1317) alikuwa mmonaki aliyeishi kama mkaapweke karibu uchi katika sehemu mbalimbali za Misri.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakopti kama mtakatifu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads