Patholojia
Utafiti juu ya Ugonjwa From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Patholojia (kutoka neno la Kiingereza lenye asili ya Kigiriki) ni taaluma inayojikita katika masuala ya uchunguzi wa ugonjwa.[1] Neno patholojia pia hurejelea uchunguzi wa magonjwa kwa ujumla, unaojumuisha nyanja mbalimbali za utafiti wa kibiolojia na masuala mazima ya matibabu.
Historia
Utafiti wa ugonjwa, ukiwa ni pamoja na uchunguzi wa kina wa mwili, dissection na uchunguzi wa magonjwa maalum, ulianza zamani. Uelewa wa kimazoea wa hali nyingi ulikuwepo katika jamii nyingi za awali na unathibitishwa katika rekodi za jamii za awali za kihistoria, zikiwemo zile za Mashariki ya Kati, India, na Uchina.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads