Patrick Swayze
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Patrick Wayne Swayze (18 Agosti 1952 – 14 Septemba 2009) alikuwa mwigizaji, dansa na mwimbaji-mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Alikuwa maarufu sana kwa nyusika zake kiongozi-kimahaba katika filamu za Dirty Dancing na Ghost na Orry Main katika mfululizo mfupi wa TV, North and South. Alipewa jina na jarida la People kama "Mtu Mwenye Mvuto Aliye Hai" mnamo 1991.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads