Paul Josef Cordes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paul Josef Cordes (5 Septemba 1934 – 15 Machi 2024) alikuwa Kardinali kutoka Ujerumani wa Kanisa Katoliki.
Alihudumu kama rais wa Baraza la Kipapa la Cor Unum (1995–2010) na aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 2007.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads