Paul Newman

From Wikipedia, the free encyclopedia

Paul Newman
Remove ads

Paul Newman (26 Januari 1925 - 26 Septemba 2008) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Newman alizaliwa mjini Shaker Heights, Ohio, Marekani. Alifahamika sana kwa kucheza katika filamu ya Butch Cassidy and the Sundance Kid, ilichezwa mnamo mwaka wa 1969. Humo alicheza kama Butch Cassidy. Newman alipata kumwoa mwigizaji filamu mwenzake Bi. Joanne Woodward.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Remove ads

Viungo vya nje

Paul Newman at the Internet Movie Database

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Newman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads