Ohio

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ohio
Remove ads

Ohio ni jimbo la kujitawala la Muungano wa Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini mashariki ya Marekani bara. Imepakana na majimbo ya Pennsylvania, Michigan, Indiana, Kentucky na West Virginia. Upande wa kazkazini ni mpaka wa kimataifa na ng'ambo yake iko jimbo la Ontario katika Kanada. Mipaka asilia ni Ziwa Erie upande wa kazkazini na mto Ohio upande wa mashariki na kusini.

Ukweli wa haraka Ohio, Jimbo ...
Remove ads
Thumb
Sehemu ya Jimbo la Ohio
Thumb
Ramani ya Ohio

Mji mkuu pia mji mkubwa jimboni ni Columbus. Miji mingine mikubwa ni Cleveland, Cincinnati na Dayton.

Jina la Ohio limetokana na jina la Kiindio kwa mto mkubwa ulio mpaka wa kusini wa jimbo.

Ohio ina eneo la 116,096 km² linalokaliwa na wakazi 11,353,140.


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ohio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Ukweli wa haraka
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads