Paula Abdul
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paula Abdul (amezaliwa 19 Juni 1962) ni mwimbaji na mnenguaji wa Marekani. Anafahamika kwa kuongoza unenguaji katika nyimbo kibao za watu wengine na za kwake mwenyewe. Kwa sasa yeye ndiye mwamuzi wa kipindi maarufu cha TV cha Kimarekani maarufu kama American Idol.
Remove ads
Diskografia
Albamu
Kompilesheni
Single
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads