Peasi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Peasi
Remove ads

Peasi au pea (kutoka Kilatini pirus, kwa kupitia Kiing. pear) ni tunda la mpea lenye nyama nyeupe yenye majimaji na ladha inayofanana na ile ya tufaa (kwa Kilatini malus au "pirus malus", yaani "pea baya"), lakini tamu zaidi.

Thumb
Mapeasi tawini.

Faida za peasi

Inadaiwa kwamba tunda hili lina faida nyingi sana kwa mwanadamu iwapo atalitumia, lakini siyo madhara haya yote yamethibitishwa na majaribio ya kisayansi.

  • 1. Peasi husafisha mishipa ya moyo, pia hukausha jasho la kwapa kwa wale wenye kutokwa na jasho jingi.
  • 2. Peasi lina vitamini A na B.
  • 3. Peasi hutibu mafua ya ndege na kusaidia mmeng'enyo wa chakula.
  • 4. Peasi huleta hamu ya kula.
  • 5. Juisi ya peasi ni nzuri kwa kuua mba.
  • 6. Pea hutibu kibofu na UTI.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peasi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads