Pembe kali
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pembe kali (ing. acute angle) ni pembe ambayo kiwango chake ni kubwa kuliko nyuzi 0° lakini pungufu ya nyuzi 90°.
Mifano
- Pembe kali
- Pembe kali daima huwa ndogo kuliko 90°
- pia pembe kali
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads