Pembe (jiometria)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pembe (jiometria)
Remove ads

Pembe ni nafasi kati ya mistari miwili pale ambako inakutana. Mistari huitwa "mikono" ya pembe. Nukta inapokutana ni kipeo au ncha.

Thumb
Pembe

Kiwango cha pembe hutajwa mara nyingi kwa nyuzi (alama °). Kiwango cha duara ni 360°. Jumla ya pembe katika pembetatu ni 180°.

Kuna pia vipimo vingine vya kutaja kiwango cha pembe kama vile radiani au gon.

Aina za pembe

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pembe (jiometria) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads