Picha mgando

From Wikipedia, the free encyclopedia

Picha mgando
Remove ads

Picha mgando ni teknolojia na sanaa ya kutengeneza picha za kudumu kwa kunasa mwanga au mionzi mingine, kwa njia ya kielektroni au ya kikemia.[1]

Thumb
Lensi ya kamera.

Kwa kawaida, lensi inatumika kuelekeza mwanga wa nje mpaka ndani ya kamera kwa muda fulani.

Matumizi ya picha hizo leo ni makubwa katika sekta nyingi.

Baada ya picha mgando (karne ya 19) binadamu alibuni pia picha za video (filamu).

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads