Polotsk
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Polatsk (Kibelarusi Полацк polatsk au Полацак polatsak, Kirusi Полоцк Polotsk) ni mji katika kaskazini ya Belarusi. 2004 ilikuwa na wakazi 86,000. Mji uko kando la mto Dunava ni makao makuu ya wilaya ya Polotsk.


Kihistoria ilikuwa kitovu cha utemi uliofuata milki ya Kiev wakati wa Enzi ya Kati. Kwa muda mrefu eno lake lilkuwa chini ya Lizthuania, baadaye Polandi na Urusi.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads