RNA

From Wikipedia, the free encyclopedia

RNA
Remove ads

RNA au asilia ya ribonukleiki, ni aina ya asilia inayopatikana katika seli za viumbe hai. Ni molekuli inayobeba habari za jeni na kusaidia katika utengenezaji wa protini, ambazo ni muhimu kwa kazi na muundo wa seli.

Thumb
mfano wa muonekano wa RNA

Tofauti na DNA (asilia ya asidi deoksiribonukleiki), ambayo inachukuliwa kama stohari kuu ya habari za maumbile, RNA hufanya kazi kama "mfanyakazi" anayesafirisha habari kutoka kwa DNA hadi kiini cha seli na kusaidia katika mchakato wa kutengeneza protini[1].

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads