Rashidi Kawawa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rashidi Kawawa
Remove ads

Rashidi Mfaume Kawawa (27 Mei 1926 - 31 Desemba 2009) alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Tanzania. Kuanzia tarehe 22 Januari 1962 hadi tarehe 13 Februari 1977 alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Alifuatwa na Edward Sokoine. Baadaye alikuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.

Thumb
Rashidi Mfaume Kawawa

Maisha

Rashidi Mfaume Kawawa alizaliwa tarehe 27 Februari 1926 katika kijiji cha Matepwende, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Tanzania. Alianza elimu ya msingi huko Liwale, Lindi mnamo 1941 - 1942 na kuendelea na masomo ya sekondari katika shule ya Dar es Salaam Secondary School.[1]


Viungo vya nje

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads