Reiko Aylesworth
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Reiko Aylesworth (alizaliwa Evanston, Illinois, 9 Desemba 1972)[1] ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Marekani.
Anafahamika zaidi kwa kazi zake za mfululizo wa televisheni maarufu kama 24. Katika 24, alicheza kama Michelle Dessler.
Remove ads
Filamu alizoigiza
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads