Ricardo Vidal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ricardo Tito Jamin Vidal (6 Februari 1931 – 18 Oktoba 2017) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ufilipino.

Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1985 na aliwahi kuwa Askofu Mkuu wa Cebu kuanzia 1982 hadi 2010.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads