Richard Roxburgh
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Richard Roxburgh (amezaliwa 1 Januari 1962) ni mwigizaji wa tamthilia na filamu kutoka nchini Australia.
Amecheza filamu nyingi sana huko nchini huko na ameonekana zaidi katika baadhi ya filamu za mjini Hollywood, Marekani. Roxburgh mara nyingi hucheza kama jambazi. Pia aliwahi kucheza kama adui mkuu msaidizi katika filamu aliyocheza nyota Tom Cruise - Mission Impossible II. Vilevile katika Van Helsing aliyocheza nyota Hugh Jackman, humo alicheza kama adui mkubwa - Dracula.
Remove ads
Filamu alizoigiza
- Romulus, My Father Director (2007)
- Like Minds (2006)
- Fragile (2005)
- Stealth (2005)
- Van Helsing (2004)
- League of Extraordinary Gentlemen (2003)
- The One and Only (2002)
- The Touch (2002)
- The Hound of the Baskervilles (2002) (TV)
- Moulin Rouge! (2001)
- Mission: Impossible II (2000)
- Passion: The Story of Percy Grainger (1999)
- In The Winter Dark (1998)
- Thank God He Met Lizzie (1997)
- Children of the Revolution (1996)
Remove ads
TV
- The Silence
- Frontier
- The Last of the Ryans
- Gluttony: Seven Deadly Sins
- Tracks of Glory
- Police Rescue
- The Saint: Fear in Fun Park
- Riddle of the Stinson
- The Ordinary Man
- One Way Ticket for Twisted Tale
- The Paper Man
Tuzo
- Taasisi ya filamu Australia:
- 2006 - ameshinda : The Silence (TV)
- 2001 - ameshinda : Moulin Rouge!
- 1999 - ameshinda : Passion
- 1997 - ameshinda : Doing Time for Patsy Cline
- Tuzo za filamu Australia:
- 1998 - ameshinda : Doing Time for Patsy Cline
Viungo vya nje
- Richard Roxburgh at the Internet Movie Database
- Richard Roxburgh CV at PFD Ilihifadhiwa 28 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Romulus My Father website
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads