Richard Taylor

From Wikipedia, the free encyclopedia

Richard Taylor
Remove ads

Richard Edward Taylor (amezaliwa 2 Novemba 1929) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Kanada. Baadaye alihamia na kufanya kazi Marekani. Hasa alichunguza atomu na mfumo wake. Mwaka wa 1990, pamoja na Jerome Friedman na Henry Kendall alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Taylor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Richard E. Taylor
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads