Rico Gang

Kikundi cha Kenya cha Gengeton From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Rico Gang ni kundi la muziki wa Gengetone nchini Kenya lililoundwa Nairobi na HarryCraze, Triand Rands na GeeGee mwaka 2017.

Ukweli wa haraka Asili yake, Aina ya muziki ...

Kundi hilo limepata umaarufu kwa wimbo wao uitwao Chachisha walioshirikisha Ochungulo Family.

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rico Gang kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads