Roberta Flack
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Roberta Cleopatra Flack (10 Februari 1937 – 24 Februari 2025) alikuwa mwimbaji na mpiga kinanda wa Marekani anayejulikana kwa nyimbo zake zenye hisia kali na mchanganyiko wa aina mbalimbali za muziki kama R&B, jazz, folk, na pop, ambazo zilichangia kuzaliwa kwa mtindo wa quiet storm.

Alipata mafanikio makubwa kibiashara, ikiwa ni pamoja na nyimbo zake zilizoshika nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Hot 100, kama "The First Time Ever I Saw Your Face", "Killing Me Softly with His Song", na "Feel Like Makin' Love". Pia, alikua msanii wa kwanza kushinda tuzo ya Grammy ya Rekodi ya Mwaka kwa miaka miwili mfululizo. [1][2][3][4][5][6][7]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads