Roger Bacon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Roger Bacon, O.F.M. (Ilchester, Somerset, 1214[1] - Oxford[2] 1294) alikuwa msomi mkubwa wa mambo mengi kutoka Uingereza.[3]

Kisha kusomea chuo kikuu cha Oxford, alijiunga na utawa wa Ndugu Wadogo (1256). Hapo aliacha kufundisha lakini akaendelea na masomo yake na hata kuandika kuhusu mambo mengi tofauti hadi kifo chake.
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads