Ronald Ngala
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ronald Gideon Ngala (1923–1972) alikuwa mwanasiasa wa Kenya ambaye alikuwa kiongozi wa chama cha siasa cha Kenya African Democratic Union tangu kuundwa kwake mwaka wa 1960 hadi kufutwa kwake mwaka wa 1964.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads