Rosalynn Carter
Mke wa Rais wa Marekani (1977 - 1981) Jimmy Carter. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eleanor Rosalynn Carter (18 Agosti 1927 – 19 Novemba 2023) alikuwa mwandishi na mwanaharakati ambaye aliwahi kuwa Mwanamke wa Kwanza wa Marekani kutoka mwaka 1977 hadi 1981 kama mke wa Raisi Jimmy Carter. Kwa miongo kadhaa, amekuwa mtetezi wa mambo mbalimbali kama vile afya ya akili.

'
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads