Roy Haynes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Roy Owen Haynes (13 Machi 1925 – 12 Novemba 2024) alikuwa mpigaji-dramu maarufu kutoka Marekani. Alikuwa miongoni mwa wapiga dramu waliorekodiwa zaidi katika historia ya jazz. Katika kazi yake iliyodumu kwa zaidi ya miongo minane, alicheza muziki wa swing, bebop, jazz fusion, na jazz ya kisasa (avant-garde). Anachukuliwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa uchezaji wa drum katika jazz. "Snap Crackle" ilikuwa jina la utani alilopewa katika miaka ya 1950. [1]

Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads