Ruth Bosibori

Mpanda viunzi wa Kenya From Wikipedia, the free encyclopedia

Ruth Bosibori
Remove ads

Ruth Bosibori Nyangau (pia huandikwa Ruth Bisibori; alizaliwa Bosiango, karibu na Kisii, 2 Januari 1988) ni mwanariadha Mkenya anayekimbia katika mashindano ya umbali wa kati na ni mtaalamu katika shindano la steeplechase mita 3,000.

Thumb
Ruth Bosibori

Mwezi Julai 2007 alikuwa mshindi wa kwanza wa mashindano ya All-Africa Games, kwani ilishindaniwa mara ya kwanza mwaka huo. Mwezi Agosti mwaka uo huo alimaliza wa nne katika Mashindano ya dunia katika rekodi ya dunia ya wanariadha wachanga ya dakika 9:25.25. Rekodi ya awali ilikuwa 9:30.70 ilikuwa imewekwa na Melissa Rollison. [1]. Alimaliza wa tatu katika mashindano ya Mabingwa wa Afrika mwaka 2008.

Bosibori alianza kukimbia mwaka 2003 alipokuwa katika chuo cha upili cha Kebirichi. Aliajiriwa na Polisi wa Kenya baada ya kushinda michuano ya mkoa mwaka 2007. Amezoea kukimbia miguu mitupu.[2]

Alishinda tuzo la Mwanariadha wa kike ambaye ana ahadi zaidi mwaka 2007 katika sherehe za Kenya Sports Personality of the Year[3] Kocha wake ni Dan Muchoki [4]

Remove ads

Mafanikio

Maelezo zaidi mwaka, Mchuano ...
Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads