Södertälje
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Södertälje ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 60,279 (mwaka 2005). Ni mji mkubwa wa kumi na tano katika nchi wa Uswidi

Jiografia
Uko upande wa wa Stockholm. Eneo lake ni 24,66 km². Iko kando ya Ziwa Mälaren.
- Kanisa la Sankta Ragnhild
- Mfereji wa Södertälje
- Uwanda wa Södertälje
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Södertälje kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads