Sabini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sabini (kutoka neno la Kiarabu سبعون) ni namba inayoandikwa 70 kwa tarakimu za kawaida na LXX kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 69 na kutangulia 71.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 5 x 7.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads