Samadi

viumbe hai, hasa inayotokana na kinyesi cha wanyama, kutumika kama mbolea ya kilimo From Wikipedia, the free encyclopedia

Samadi
Remove ads

Samadi (kutoka Kiarabu روث, سماد) ni mbolea inayotokana na mabaki ya wanyama waliokufa au mimea ambayo huongeza rutuba kwenye udongo.

Thumb
Mfano wa samadi.

Aina za samadi

Farmyard

Mboji

  • Ni samadi ambayo hutokana na uozo wa takakataka zitokanazo na mabaki ya wanyama na mimea.

Greenyard

  • Ni samadi ambayo hutengenezwa kwa kuzika mimea ya rangi ya kijani kwenye shimo maalum.

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samadi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads