Samsun

From Wikipedia, the free encyclopedia

Samsun
Remove ads

Samsun ni jina la mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika pwani ya Bahari Nyeusi, ukiwa na idadi ya wakazi takriban 725,111 kama jinsi ilivyohesabiwa katika mwaka wa 2007. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Samsun na ni bandari muhimu kabisa mjini hapa.

Thumb
Samsun

Mji huu wa Samsun ulianzishwa na wakoloni kama Amisos (tahajia zingine ni Amisus, Eis Amison - maana ya Amisos imechukua jina la Samsunta au Samsus (Eis Amison - Samson - Samsounta).[1]

Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads