Samweli wa Waldebba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Samweli wa Waldebba (kwa Ge'ez: ሳሙኤል ዘሀገረ ወልድባ sāmū'ēl za-hagara waldibbā) alikuwa mmonaki wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia katika karne ya 15.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Desemba.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads