Sanjo wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sanjo wa Japani
Remove ads

Sanjo (5 Februari, 976 5 Juni, 1017) alikuwa mfalme mkuu wa 67 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Iyasada, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Reizei. Mwaka wa 1011 alimfuata binamu yake, Tenno Ichijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1016. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake, Go-Ichijo.

Thumb
Mchoro wa Sanjo

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sanjo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads