Go-Ichijo wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Ichijo wa Japani
Remove ads

Go-Ichijo (12 Oktoba, 1008 15 Mei, 1036) alikuwa mfalme mkuu wa 68 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Atsuhira, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Ichijo. Mwaka wa 1016 alimfuata binamu yake, Tenno Sanjo, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, Go-Suzaku.

Thumb
Kaburi la Mfalme Go-Ichijō na mmoja wa binti zake, Kyoto

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Ichijo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads