Sara Tancredi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dr. Sara Wayne Tancredi ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu umechezwa na Sarah Wayne Callies. Sehemu yake ya kwanza katika mfululizo alicheza kama daktari wa jela ya Fox River. Na pia huyu ndiye mwandani wa mhusika mkuu wa mfululizo huu Bw. Michael Scofield.
Remove ads
Viungo vya nje
- Mitovich, M. W., "Sarah Wayne Callies: Prison Break's Sara Is in Deep Water", TV Guide. 20 Novemba 2006.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads