Sassari

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sassari
Remove ads

Sassari ni mji wa Italia katika mkoa la Sardinia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 130,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 225 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Thumb
Mji wa Sassari
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Remove ads

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads