Sardinia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sardinia (kwa Kiitalia: Sardegna) ni kisiwa kikubwa cha pili katika bahari ya Mediteranea chenye eneo la km² 23,821.



Pamoja na visiwa vidogo vya karibu ni mkoa wenye katiba ya pekee wa Italia. Kwa sasa umegawanyika katika wilaya 8, lakini mwaka 2012 wananchi walipiga kura ya kuzifuta.
Remove ads
Tazama pia
Viungo vya nje
- (Kiitalia) Tovuti rasmi
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sardinia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads