Sauti ya Gharama
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sauti ya Gharama ni wimbo wa Dknob akimshirikisha Mez B.. Wimbo unatoka katika albamu ya kwanza ya Dknob ya Elimu Mitaani.com, iliyotoka mnamo mwaka wa 2005. Wimbo ulitengenezwa na mtayarishaji mashuhuri wa muziki wa hip hop P Funk.
Remove ads
Viungo vya nje
- Sauti ya Gharama katika YouTube
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sauti ya Gharama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads