Savannah, Georgia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Savannah, Georgia
Remove ads

Savannah ni mji wa Marekani katika jimbo la Georgia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 130,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 15 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Thumb
Mji wa Savannah, Georgia
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Savannah, Georgia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads