Schengen

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Schengen ni kijiji huko Luxemburg. Ni sehemu ya tarafa ya Remich yenye wakazi 4833.

Thumb
Nembo ya Schengen

Mnamo mwaka 1985 Mkataba wa Schengen ulitiwa sahihi hapa iliyoondoa udhibiti wa mpakani kati ya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Schengen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads