Selena Gomez

Mwigizaji na Mwimbaji wa Marekani (Amezaliwa 1992) From Wikipedia, the free encyclopedia

Selena Gomez
Remove ads

Selena Marie Gomez (alizaliwa 22 Julai 1992) ni mwigizaji filamu na mwimbaji wa kike kutoka nchi ya Marekani. Alianza kuigiza filamu akiwa na umri wa miaka kumi tu. Baadaye akaanza kuimba pia katika bendi, na kutoa albamu kama Kiss & Tell, A Year Without Rain na When the Sun Goes Down.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Remove ads

Filamu

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...
Maelezo zaidi Mwaka, Tamthilia ...
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selena Gomez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads