Shamsi Vuai Nahodha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Shamsi Vuai Nahodha (amezaliwa 20 Novemba, 1962) alikuwa Waziri Kiongozi wa Zanzibar kuanzia tar. 15 Novemba 2000 hadi tar. 9 Novemba 2010, ambapo cheo hicho kiliondolewa. Mnamo tar. 9 Novemba, 2005, alichaguliwa tena kuwa kama Waziri Kiongozi na Rais Amani Abeid Karume.[1] Huyu ni mwanachama wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads