Shmuel Yosef Agnon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Shmuel Yosef Agnon ( kwa Kiebrania: שמואל יוסף עגנון; 17 Julai 1888 – 17 Februari 1970) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Israeli. Alizaliwa nchini Polandi na jina la Shmuel Yosef Halevi Czaczkes. Akiwa bado kijana alihamia Israeli. Hasa aliandika riwaya, na lugha zake zilikuwa Kiebrania na KiYiddish. Mwaka wa 1966, pamoja na Nelly Sachs alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
![]() |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shmuel Yosef Agnon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads