Simone Ferraz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Simone Ponte Ferraz (alizaliwa Machi 1990) ni mwanariadha wa Brazil aliyebobea kwenye mita 3000 ya kuruka vikwazo.[1] Alishinda medali mbili kwenye michuano ya Amerika kusini. Alishindana kwenye olimpiki ya majira ya joto 2020.[2]
Ubora wake kwenye tukio ni sekunde 9:45.15 huko Guayaquil mwaka 2021.
Ubora wake
Nje
· Mita 800 – dakika 2:16.42 (Itajaí 2013)
· Mita 1500 – dakika 4:27.19 (Jaraguá 2018)
· Mita 3000 za kuruka vikwazo – dakika 9:45.15 (Guayaquil 2021)
· Mita 5000 – dakika 16:03.34 (Timbó 2021)
· Mita 10,000 – dakika 35:20.95 (Jaraguá 2019)
· Kilomita 10– dakika 36:37 (Porto Alegre 2017)
· Nusu marathoni –saa 1:20:36 (Rio de Janeiro 2019)
· Marathoni – saa 2:38:10 (Buenos Aires 2019)
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads