Sinclair Lewis

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sinclair Lewis
Remove ads

Sinclair Lewis (7 Februari 1885 10 Januari 1951) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Katika riwaya zake alikosoa jamii ya kimarekani. Mwaka wa 1926 alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi lakini alikataa tuzo hiyo. Mwaka wa 1930 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sinclair Lewis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Remove ads
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads